Zanzibar Higher Education Loans Board Scholarship from Ras-Al-Khaimah 2022

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inatangaza nafasi za ufadhili wa masomo wa Shahada ya Kwanza unaotolewa na Serikali ya Mfalme wa Ras al-Khaimah katika mwaka wa masomo 2022/2023 kwa fani za afya na uhandisi. Sifa za muombaji 1. Awe amemaliza kidato cha sita mwaka 2022 kutoka skuli za sekondari zilizopo Zanzibar […]