Zanzibar Teachers Job Opportunities July 2022

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR TUME YA UTUMISHI SERIKALINI Kumbukumbu Nam CA.16/306/01………. 26 July 2022 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi za ualimu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa ajili ya Skuli za Maandalizi, Msingi na Sekondari Unguja na Pemba Kama ifuatavyo:- 1. MWALIMU “GRADE […]