SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

TUME YA UTUMISHI SERIKALINI

Kumbukumbu Nam CA.16/306/01………. 26 July 2022

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi za ualimu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa ajili ya Skuli za Maandalizi, Msingi na Sekondari Unguja na Pemba Kama ifuatavyo:-

1. MWALIMU “GRADE A” SANAA DARAJA LA II -ZPSF-10 Nafasi 29 Unguja na Pemba

Ufafanuzi wa nafasi hizo ni kama ifuatavyo:

 

 

TAFADHALI DOWNLOAD PDF FILE HAPA KWA TAARIFA ZAIDI

TANGAZO LA WIZARA YA ELIMU

Please follow and like us:

2 Responses

Comments are closed.